iqna

IQNA

wanamichezo waislamu
Wanamichezo Waislamu
IQNA – Patrice Beaumelle, kocha wa soka wa Ufaransa ambaye kwa sasa anaongoza timu ya Mouloudia d'Alger katika ligi kuu ya soka ya Algeria, amesilimu.
Habari ID: 3478748    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28

Uislamu
IQNA - José Manuel Ferreira de Morais, kocha wa Ureno wa timu ya Sepahan SC ya Iran, amethibitisha kwamba amesilimu.
Habari ID: 3478739    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/27

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Mwanamieleka bingwa wa dunia wa Iran, Amirhossein Zare, ameweka wakfu nishani zake mbili za dhahabu alizoshinda hivi karibuni katika mashindano ya bara na dunia kwa Jumba la Makumbusho la Haram ya Imam Ridha (AS) ilyoko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3477845    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

Wanamichezo Waislamu
PARIS (IQNA)- Katika mahojiano kwenye televisheni, Paul Pogba, mchezaji wa soka wa Ufaransa na klabu ya Juventus ya Italia, alijadili sababu zilizomfanya kusilimu na jinsi hatua hiyo ya kuukumbatia Uislamu ilivyoathiri maisha yake.
Habari ID: 3477608    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16

Wanamichezo Waislamu
BERLIN (IQNA) - Mchezaji soka wa Ujerumani anayecheza nchini Saudi Arabia alitangaza kusilimu kwake.
Habari ID: 3477598    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14

Wanamichezo Waislamu
LONDON (IQNA) - Aston Villa imekuwa klabu ya tano ya Ligi Kuu ya Soka Uingereza (EPL) kusaini mkataba wa kuwalinda wanamichezo wa Kiislamu.
Habari ID: 3477486    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Wanamichezo Waislamu
RIYADH (IQNA) - Karim Mostafa Benzema, mwanasoka wa kulipwa wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika Klabu ya Al-Ittihad ya Ligi Kuu ya Saudia , alipokea zawadi ya nakala ya Qur'ani Tukufu kutoka kwa ripota wa Saudi.
Habari ID: 3477455    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Mchezaji soka maarufu wa Bosnia na Herzegovina Anel Ahmedhodzic ameusifu mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni mwezi wa kumwabudu Mwenyezi Mungu na kuleta jamii pamoja.
Habari ID: 3476768    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/27